Translate

Friday, April 8, 2016

Aya ya Leo - Muhammad (S.A.W)

 

[Alikutumieni] Mtume [Muhammad] anaye kusomeeni Aya za Mwenyezi Mungu zinazo bainisha, ili kuwatoa walio amini na wakatenda mema kutoka gizani kuwapeleka kwenye nuru. Na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu, na akatenda mema, atamwingiza katika Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo milele. Mwenyezi Mungu amekwisha mpa riziki nzuri. 

[He sent] a Messenger [Muhammad] reciting to you the distinct verses of Allah that He may bring out those who believe and do righteous deeds from darkness into the light. And whoever believes in Allah and does righteousness - He will admit him into gardens beneath which rivers flow to abide therein forever. Allah will have perfected for him a provision. (Qur'an 65:11).

Jumaa Mubarak!

Friday, April 1, 2016

Aya ya Leo - Spend within your means


Mwenye uwezo atumie (atoe) kadiri ya wasaa wake, na mwenye dhiki atumie(atoe) katika alicho mpa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu hamkalifishi mtu ila kwa kadiri ya alicho mpa. Mwenyezi Mungu atajaalia baada ya dhiki faraja.

Let the rich man spend according to his means, and the man whose resources are restricted, let him spend according to what Allah has given him. Allah puts no burden on any person beyond what He has given him. Allah will grant after hardship, ease. (Qur'an 65:7)

                                  Jumaa Mubarak!