Translate

Friday, May 25, 2018

Aya ya Leo - SalaaShika Sala jua linapo pinduka mpaka giza la usiku, na Qur'ani ya al fajiri. Hakika Qur'ani ya alfajiri inashuhudiwa daima.

Perform As-Salat (Iqamat-as-Salat) from mid-day till the darkness of the night (i.e. the Zuhr, 'Asr, Maghrib, and 'Isha' prayers), and recite the Quran in the early dawn (i.e. the morning prayer). Verily, the recitation of the Quran in the early dawn is ever witnessed (attended by the angels in charge of mankind of the day and the night). (Qur'an 17:78)

Tuesday, May 22, 2018

Kama wewe una mambo haya hujafunga

Hahaha! Sheikh wa Mipasho ndo kashawaambia hivyo.
 
Habari ndo hiyo!

Aya ya Leo - Dua kwa Waliotangulia(Prayer for the Deceased)


Na walio kuja baada yao wanasema: Mola wetu Mlezi! Tughufirie sisi na ndugu zetu walio tutangulia kwa Imani, wala usijaalie ndani ya nyoyo zetu undani kwa walio amini. Mola wetu Mlezi! Hakika Wewe ni Mpole na Mwenye kurehemu.

And [there is a share for] those who came after them, saying, "Our Lord, forgive us and our brothers who preceded us in faith and put not in our hearts [any] resentment toward those who have believed. Our Lord, indeed You are Kind and Merciful." (Qur'an 59:10)

Saturday, May 19, 2018

Aya za Leo - Waumini (The Believers)

Hakika Waumini ni wale ambao anapo tajwa Mwenyezi Mungu nyoyo zao hujaa khofu, na wanapo somewa Aya zake huwazidisha Imani, na wakamtegemea Mola wao Mlezi.Hao ambao wanashika Sala na wanatoa katika yale tunayo waruzuku.  

The believers are only those who, when Allah is mentioned, their hearts become fearful, and when His verses are recited to them, it increases them in faith; and upon their Lord they rely.
The ones who establish prayer, and from what We have provided them, they spend.  
(Qur'an 8:3-4)

Friday, May 18, 2018

Mawaidha ya Leo kutoka kwa Sheikh Kishki

NURDIN KISHKI...VIGEZO VINAVYOTHIBITISHA KUINGIWA NA MWEZI WA RAMADHANI

 Ijumaa ya kwanza ya Mwezi wa Ramadhani.  Don't worry it gets easier.
Jumaa Mubarak!